Manchester City wamethibitisha kuwa beki wao Joao Cancelo saini mkataba mpya, utakaomfanya kusalia Etihad hadi mwaka 2027.Mkataba wake wa awali ulikuwa unamalizika 2025 lakini City walikuwa na nia ya kumpa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mkataba ulioboreshwa zaidi kama zawadi kutokana na ubora wake, ambao umemfanya kuibuka kuwa mmoja ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Soka nchini Uingereza.
Subscribe to:
Posts (Atom)
HIVI PUNDE
Ghasia zatanda kwenye mkutano wa UDA Mombasa
Hali purukushani imeshuhudiwa Leo wakati wa mkutano wa wajumbe wa Chama Cha UDA kwenye kaunti ya Mombasa baada ya wafuasi wa mbunge wa EALA...
-
Serikali ya kitaifa imejikita katika kuunda mkakati wa kitaifa wa usalama wa baharini unaonuia kukabiliana na changamoto za kiusalama zina...
-
Reports concerning cases of toxic or unhealthy relationships among Campus students in the Country have been rampant in the current years ....
-
Hali purukushani imeshuhudiwa Leo wakati wa mkutano wa wajumbe wa Chama Cha UDA kwenye kaunti ya Mombasa baada ya wafuasi wa mbunge wa EALA...